Habari za Punde

Balozi Seif akagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Abdulla Mzee, Mkoani Pemba

 Mwakilishi wa Wahandisi wa ujenzi wa Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani Bwana Zhang Dou aliyenyoosha kidole akimfahamisha Balozi Seif Ali Iddi hatua ya ujenzi wa Hospitali hiyo uliofikia wakati alipoitembelea kuona maendeleo yake. Wa kwanza kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mheshimiwa Mwanajuma Majid Abdullah.
 Haiba  ya muonekano wa Majengo yanayoendelea kujengwa ya Hospitali ya Abdulla Mzee yanavyopendeza yakiwa katika hatua za mwisho kumalizika kwake.


Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.