Habari za Punde

Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Yakamdhi Msaada wa Vifaa vya Wodi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

 
Viongozi wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania na wa Wizara ya Afya Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Wadi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. 
Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Dennis Nombo, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa kwa Wodi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. 
Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dk Jamala Adam, akipokea msaada wa vifaa kwa ajili ya Wodi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Dennis Nombo,hafla hiyo imefanyika hospitali ya Mnazi mmoja
Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dk Jamala Adam, akipokea msaada wa magodoro kwa ajili ya Wodi ya Wazazi katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania Dennis Nombo, mwenye suti,hafla hiyo imefanyika hospitali ya Mnazi mmoja


Viongozi wa Kampuni ya Strategis Insurance Tanzania na wa Wizara ya Afya Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Widi ya Wazazi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. 

1 comment:

  1. Hongera sana Strategis Insurance, Mungu awabariki kwa moyo huo wa kuwasaidia wazazi wetu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.