Habari za Punde

Huawei Yaahidi Kutoa Motisha kwa Wasambazaji Wao Nchini Tanzania. Huawei Yasaidia Ukuaji wa Wadau Tanzania. Mkutano wa Wauzaji wa Simu za Huawei Device Tanzania 2016.

Baadhi ya zawadi mbalimbali zilizogawiwa kwa wauzaji wa simu za Huawei waliohudhuria mkutano mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. 
 Bw.Wang Guang Jun, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Device Tanzania akitoa hotuba katika mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii.
Wauzaji kadhaa wa vifaa vya Huawei Tanzania wakitembelea Baadhi ya sehemu za maonyesho ya simu mpya za Huawei, katika mkutano  na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii.
Bw.Wang Guang Jun, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Device Tanzania (kushoto) akiwapatia vyeti wauzaji wa simu za Huawei Salum Otonde na Mkewe kuthibitisha kuwa wanauza vifaa vilivyo halisi na bora, katika mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. Kulia ni Bwana Hu Xiangyang Jacko, Meneja wa Huawei Device nchini Tanzania
Bw. Wang Guang Jun, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Device Tanzania akimpatia cheti muuzaji wa simu za  Huawei  Tito Mahenge kuthibitisha kuwa anauza simu zilizo halisi na bora; Wakati wa mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. Kulia ni Bwana Hu Xiangyang Jacko, Meneja wa Huawei Device nchini Tanzania
Mmoja wa wauzaji wa vifaa vya Huawei akiweka sahihi katika ukuta wa wageni wa Huawei katika mkutano mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii
Timu ya Huawei Device Tanzania katika picha ya pamoja na wauzaji wa simu za Huawei  nchini Tanzania waliohudhuria mkutano na wauzaji wa simu za Huawei ujulikanao kama Huawei Device Tanzania Dealer Congress 2016 uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.