Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan Azindua Ripoti ya Toleo la Nane ya Uchumi wa Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassanakizungumza na Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia Madame Bella Bird baada ya uzinduzi wa ripoti yatoleo la nane 8kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika leo kwenye hotel ya Hyatt Begency,jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa hafla ya ripoti ya Toleo la nane (8 ) kuhusu hali ya Uchumi  Tanzania uliofanyika leo katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Makamu wa Rais picha hayupo wakati  wa uznduzi wa ripoti ya toleo la nane 8 kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania uliofanyika leo tarehe 20/05/2016 .kwenye hotel ya Hyatt Begency jijini Dar es salaam.[Picha na OMR]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.