Habari za Punde

Hussein Kombo aibuka mshindi katika mashindano ya Baiskeli yaliyofanyika kisiwani Pemba


 WAENDESHA Baskeli wa Zanzibar wakiwa wametulia katika uwanja wa michezo Gombani, baada ya kumaliza mashindano ya uwendeshaji wa mbio za baskeli zilizofanyika Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MSHAURI wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, kwenye mambo ya Siasa na Uchumi Amran Massoud Amran, akizungumza na waendesha baskeli wa Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyokuwa na urefu wa Kilomita 75.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MSHAURI wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwenye mambo ya siasa na Uchumi, Amran Massoud Amran akimkabidhi Cheti mshindi wa PIli katika mashindano ya Baskeli Hamad Hassan (Pengo), mbio hizo za baskeli zilijumuisha wakimbiaji 21 zikiwa na urefu wa Kilomita 75.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MSHAURI wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwenye mambo ya siasa na Uchumi, Amran Massoud Amran akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza katika mashindano ya Baskeli Hussein Kombo Mambo kutoka Ndijani Wilaya ya Kati Unguja, mbio hizo za baskeli zilijumuisha wakimbiaji 21 zikiwa na urefu wa Kilomita 75.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.