Habari za Punde

Rais Dk Shein atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Marine Hotel


 
Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Azam Marine Hotel Abubakar Aziz Salim wakati alipotembelea ujenzi wa Hoteli ya Kisasa ya Azame marine iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na uyjumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum (wa tatu kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa, [Picha na Ikulu.]26/09/2016.

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Azam Marine Hotel Abubakar Aziz Salim (katikati) wakati alipotembelea ujenzi wa Hoteli ya Kisasa ya Azame Marine iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa, [Picha na Ikulu.]26/09/2016.
 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba Wilaya ya Magharibi na Ujenzi wa Hoteli ya Azam Marine  iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa katika ziara maalum, [Picha na Ikulu.]26/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.