Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Akutana na Viongozi wa Wizara ya Elimu na Fedha Ikulu leo.

Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee akifafanua jambo wakati wa  mkutano wa siku moja wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Wizara wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020  katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Baadhi ya wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo   kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020  katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.
Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo   kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020  katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo   kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mshauri wa Rais masuala ya Uchumi Bw,Abrahmani Mwinyi Mbegu (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (katikati) na Kamishna wa ZRB Nd,Amour Hamil Bakari wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya Fedha na Mipango uliozungumzia kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,Picha na Ikulu.] 06/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.