Mchezo wa karati, umekuwa ukipendwa na watu wengi wakiwemo Vijana , pichani ni vijana wakionesha jinsi wanavyocheza mchezo huo katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Mkoani Kisiwani Pemba.
Mchezo wa bao la kete ni maarufu sana katika visiwa vya Zanzibar, pichani Wachezaji wa mchezo huo wakionesha umahiri wao katika tamasha la Utamaduni lililofanyika Mkoani Kisiwani Pemba
Picha na Habiba Zarali -Pemba
No comments:
Post a Comment