Habari za Punde

Sheikh Mohammed Ali wa Wete Pemba ahimiza vijana kuongeza bidii kufanya wema

SHEIKH Mohamed Hassan Ali wa mjini Wete Pemba, akizungumza na waandishi wa habari, juu ya muendelezo wa mfungo wa Ramadhan na nafasi ya vijana, katika kuongeza bidii ya kufanya wema, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.