Habari za Punde

Waziri wa Kilimo , Maliasili, Uvuvi akutanan na wadau wa masuala ya ardhi kisiwani Pemba

 Waziri wa Kilimo , Maliasili, Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed, akizungumza na Wadau mbali mbali wa masuala ya Ardhi huko katika ukumbiwa Kiwanda cha Mafuta ya Makonyo Wawi Pemba ,
juu ya udhibiti wa raslimali.

Picha na Habiba Zarali  --- Pemba,.

Katibu wa jumuiya ya Wamiliki na Wasafirishaji wa magari mkoa wa kusini Pemba(PESTA) Hafidh Mbaraka, akichangia neno katika mkutano wa Waziri wa Kilimo na Wadau mbali mbali wa masuala ya ardhi huko katika Ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba.

Picha na Habiba Zarali-Pemba,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.