KATIBU mtendaji wa taasisi ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazrui, akiwakabidhi misahafu 2000 kwa wanafunzi wa Vyuo 35 vya Quran vilivyomo ndani ya majimbo matatu ya Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KATIBU mtendaji wa taasisi ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazrui, akiwakabidhi vijuzuu wanafunzi wa Vyuo 35 vya Quran vilivyomo ndani ya majimbo matatu ya Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya wanafunzi kutoka Vyuo 35 vya Quran, vilivyomo ndani ya majimbo matatu ya Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakinyanyua juu misahafu yao waliopewa na taasisi ya Zanzibar Chiritable Society.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment