Habari za Punde

Kampuni ya Zanlink Liquid TeleCom Zanzibar Yadhamani Wachezaji Watatu wa Golf Zanzibar Kushirika Katika Mchezo Huo Wiki Ijayo Katika Viwanja vya Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zanlink Liquid Telecom Zanzibar Sanjay Raja akimkabidhi fulana mmoja wa wachezaji Watatu wa Golf Zanzibar Kampuni hiyo imewadhamini kushiriki katika mashindano hayo ya Golf yanayotarajiwa kufanyika Zanzibar Oktober 24 katika viwanja vya Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar na kushirikisha wachezaji maarufu wa mchezo huo, akipokea fulana mchezani Mussa Foum kutoka klabu ya Maisara Golf na Kassim Ame kushoto Mujumba wa Kamati ya maandalizi ya mashindano hayo kutoka Taasisi ya Zanzibar Rotary Club Bi. Sjani Muggenburg, hafla hiyo imefanyika katika ofisi za Kampuni ya Zanlink Majestic Zanzibar leo 19-10-2017.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.