Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Kilimani City na Black Sailors Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya 1-1. 22/102017

Mshambuliaji wa Timu ya Kilimani City akijaribu kumpita beki wa Timu ya Black Sailors wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya Kilimani City akipiga mrira golini kwa Timu ya Black Sailors huku beki wa timu hiyo akijaribu kuuzuiya mpira huo.


 Wachezaji wa Timu ya Black Sailors na Kilimani City wakiwania mpira.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.