Habari za Punde

Ujenzi wa Kituo Kipya cha Daladala Eneo la Kijangwani Chakamilika kwa Awamu ya Mwanzo Kuwekwa Kifusi.

 Gari aina ya saga mawe likiwa kazini kukamilisha uwekaji sawa kwa kushindilia kifusi katika eneo la kijangwani linalojengwa Kituo Kipya cha Daladala katika eneo hilo tayari kwa kiasi kikubwa yamekamilika kwa utiaji ya kifusi kwa awamu ya mwanzo ya ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.