Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba Atembelea Mradi wa Ujenzi wa Tuta na Upandaji wa Miti ya Mikoko Katika Eneo la Kilimani Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Yussuf Makamba akitembelea Mradi ya Ujenzi wa Tuta la kuzuiya maji ya Bahari na Upandaji wa Miti ya Mikoko katika eneo la Kilimani Zanzibar Mradi huo uko chini ya Muungano kuhifadhi eneo hilo kutoharibika kwa maji ya bahari yanayovuka.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba akisalimiana na Viongozi wa Idara ya Mazingira na Wananchi wa Kilimani wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Tuta na Upandaji wa Miti ya Mikoko katika eneo hilo unaosimamia na Serikali ya Jamhuru ya Muungano wa Tanzania. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Yussuf Makamba akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mazingira Zanzibar Sheha Mjaja akitowa maelezo kuhusiana na uhifadhi wa mazingira katika eneo la kilimani la upandaji wa miti ya mikoko na ujenzi wa tuta la kuzuiya maji ya bahari kuingia katika eneo la kilimani. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Kuhifadhi Mazingira ya Kwahani Juma Khatib,akitowa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. January Yussuf Makama wakati wa ziara yake, kutembelea eneo hilo,jinsi wanavyoliendeleza kwa kupanda miti ya mikoko kuzuiya maji ya bahari kuleta uharibifu wa eneo hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiendelea na ziara yake kutembelea eneo hilo la kilimani linalokumbwa na uharibifu wa mazingira unaosababishwa na maji ya bahari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisisitiza jamba wakati akipata maelezo ya mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuiya maji ya bahari katika eneo la kilimani Zanzibar. akiwa na Eng. wa Kampuni inayojenga tuta hilo ya Dezo Khamis Nassor.  
Eng. wa Kampuni ya DEZO inayojenga ukuta wa kuzuiya maji ya bahari Khamis Nassor akitowa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makama alipofika kujionea maendeleo ya mradi huo unaosimamiwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba akiwa katika moja ya Tuta la kuzuiya maji wa bahali katika eneo la kilimani Zanzibar akiwa na Eng wa Kampuni ya Dezo inayojenga ukutata huo Jamal Khamis wakitembelea eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.