WAJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake, Habari
na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa
kamati hiyo Ali Suleiman Shihata, wakimsikiliza meneja wa Redio Jamii Micheweni
Ali Massoud Kombo(katikati) wakati walipotembelea sehemu ya kurushia matangazo
katika redio hiyo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii,Utamaduni na
Michezo Pemba, Khatib Juma Majaja akitoa historia ya kuanzishwa kwa Redio Jamii
Micheweni, kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii ya
baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wapitembelea redio hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MWENYEKITI wa Kamati ya Maendeleo ya Habari na
Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe:Ali Suleiman Shahata, akiwaongoza
wajumbe wa kamati hiyo katika kutembelea hoteli ya AIYAANA huko Makangale
Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni moja ya vivutio vya utalii Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment