Habari za Punde

Ligi Kuu Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya New West na Duma Imeshinda Vikapu 44-28

Mchezaji wa Timu ya Duma akiwa na mpira akijaribu kumpita mchezaji wa Tiomu ya New West wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliodanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Duma imeshinda kwa Vikapu 44 - 28.
Mchgezaji wa Timu ya Duma akimpita mchezaji wa Timu ya New West wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Duma imeshinda kwa Vikapu 44 - 28. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.