Habari za Punde

Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar na Mwanamichezo Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja Mhe Mohammed Raza Ajumuika na Waandishi wa Habari Katika Matembezi ya Ushirikiano na Waandishi.

Mfanyabiasha Maarufu Zanzibar na Mwanamichezo Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar akijumuika na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar katika matembezi hayo kutembea ili kufanya mazoezi baada ya matibabu yake kumalizika na kufthamini mchango wa Waandishi wa habari katika jamii kupasha habari. Matembezi hayo yameazia katika viwanja vya mnazi mmoja na kumalizikia katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.