Habari za Punde

Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini

UKUTA wa Mawe ambao umeangua chini, kufuatia nguvu za maji zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya Tabia nchi, ukuta huo ulijengwa na wananchi wa Msuka bandarini, kwa lengo la kuzuwia maji ya bahari kumega eneo la bandari ya msuka, mabadiliko hayo yamemega eneo lenye urefu wa mita 500 la bandari ya msuka. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, akiangalia athaari zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi, katika eneo la msuka bandarini, katika ziara yake Kisiwani Pemba hivi karibuni eneo hilo ambalo ukuta umeangushwa chini na maji ya bahari.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

UKUTA wa Mawe ambao umeangua chini, kufuatia nguvu za maji zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya Tabia nchi, ukuta huo ulijengwa na wananchi wa Msuka bandarini, kwa lengo la kuzuwia maji ya bahari kumega eneo la bandari ya msuka, mabadiliko hayo yamemega eneo lenye urefu wa mita 500 la bandari ya msuka. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.