Habari za Punde

Inahitajika Uangalifu Kwa Wanafunzi na Watoto Wakati Wakikata Barabara Kuepuka Ajali.

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Kijitoupele wakifuga barabara bila ya msaada wowote kuweza kusimamisha magari yanayotumia barabara hiyo, huku watumiaji wa barabara hiyo wakiwa pishana na wanafunzi hao bila ya kusimamisha gari zao, kama inavyoonekana pichani wakikatika katika alama maalum ya zebra na huku nazo gari zikitaka kupita bila ya kuwapisha. 
Katika eneo hilo hususan hutumika kwa Wanafunzi kuvuka barabara kuwekwa Askari kwa ajili ya kutoa msaada ikizingatiwa eneo hili na la barabara kubwa ya kwenda fuoni na mjini hutumiwa na watu wengi na Maderevya wengi kutokutoa fursa kwa Watembea kwa miguu wanapopita katika alama maalum zilizowekwa kwa watumiaji wa miguu.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.