Habari za Punde

Wafanyabiasha Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Mlipa Kodi Zanzibar.

Ofisa mdhamini wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma,akifunguwa mafunzo ya marekebisho ya Sheria za Kodi za Bodi ya MapatoZanzibar (ZRB) kwa Wadau wa Kodi wa Mkoa wa Kusini Pemba, huko katikaukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake .
 Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakiskiliza kwa makini marekebisho ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) yaliofanyika katika ukumbi za Baraza la Mji wa Chake
Chake Pemba, yaliotolewa na ZRB,Zanzibar.
Mfanyabiashara Maalim Nassib -kutoka Kengeja , akichangia mada juu ya marekebisho ya Kodi huko katika mafunzo ya marekebisho ya baadhi ya Sheria za Kodi yalioandaliwa na ZRB Zanzibar kwenye ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake Pemba.
Mfanyabiashara maarufu katika Mji wa Chake Chake , Abdalla Said (Ng'onda) akitaka ufafanuzi juu ya malipo ya wageni Wazalendo katika nyumba za kulala Wageni , huko katika mafunzo ya marekebisho ya baadhi ya sheria za Kodi yaliofanyika katika ukumbi ya Baraza la Mji wa ChakeChake -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.