Habari za Punde

Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar Wamtembelea Mwenyekiti wa ZFA Mstaaf Ali Ferej Tamim Nyumbani Kwake Shangani Zanzibar.

 Katibu wa kamati ya mpito inayosimamia  masuala ya soka visiwani Zanzibar kwa sasa Khamis Abdallah Said akizungumza na aliyekuwa rais wa chama cha mpira wa miguu visiwanibZanzibar Ali Fereji wakati alipotembelea nyumbani kwake pamoja na waandishi mbali mbali wa michezo .
Mwenyekiti wa Zamani wa Chama Cha Mpira Zanzibar ZFA Ali Ferej Tamim akizungumza na mwandishi wa habari za Michezo Zanzibar Ndg. Salu Vuai walipofika nyumbani kwake shangani kumtembelea na kumjulia hali yake. 
Waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakimtembelea na kumjulia hali Mwenyekiti Mstaaf wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar ZFA Ali Ferej Tamim walipofika nyumbani kwake shangani Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.