Habari za Punde

Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar Katika Viwanja Vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. Yafungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde kuhudhuria hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar.2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdallah Mohammed Juma alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar Mr. Javed Jaffar alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika ukumbi wa hafla hiyo katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.  No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.