Habari za Punde

Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Issa Haji Gavu, akikunjua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme katika shehia ya Maziwani Wilaya ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Issa Haji Gavu, akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme katika shehia ya Maziwani Wilaya ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanziba
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Issa Haji Gavu, akizungumz ana wananchi wa maziwani Wilaya ya Wete mara baada ya kuzindua mradi wa umeme,  ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.