Habari za Punde

Maktaba Kuu Pemba Yatowa Nafasi ya Kuweza Kujisomea Wanafunzi wa Skuli za Msingi Kujisomea

NJIA moja ya kumfanya mtoto aweze kufanya vizuri katika masomo yake ni kumuhamasisha kupenda kusoma vitabu mbali mbali, pichani wanafunzi wa skuli ya Msingi Mkanyageni wakiwa katika mafunzo ya usomaji wa vitabu, yaliyoandaliwa na Maktaba Kuu ya Chake Chake hivi Karibuni.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.