Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yafutarisha Wateja Wao Kisiwani Pemba

BAADHI ya wateja na wafanyakazi wa Benk ya watu wa Zanzibar PBZ Tawi la Pemba, wakiwa katika sala ya pamoja ya Magharibi iliyofanyika katika kiwanja cha Kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla wanne kutokea kulia, wakijumuika katika futari maalumu iliyoandaliwa na Benk ya Watu wa  Zanzibar  PBZ Tawi la Pemba, futari hiyo imefanyika katika viwanja vya kufurahishia watoto Tibirinzi.
VIONGOZI wa Serikali Pemba, Wananchi na Wateja wa PBZ Kisiwani Pemba wakijumuika katika futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Bnek hiyo, iliyofanyika katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.