Habari za Punde

Innaalill Waina Illahy Rajiuun DCP Azizi Juma Mohammed Akutwa Amefariki Nyumbani Kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi A Unguja.


DCP wa Jeshi la Polisi Azizi Juma Mohammed amekuwa Amejunyonga Nje ya Nyumba yake maeneo ya Kibweni Zanzibar leo,Sababu za kifo chake bado hakijaleta mwili wa marehemu unafanyiwa uchunguzi hospital Kuu ya mnazi mmoja Zanzibar.
Maziko yanafanyika Nyumbani Kwake Kibweni na kuzikwa leo saa saba katika makaburi ya Mwanakwerekwe Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.