Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa ZFF Uliofanyika Katika Ukumbi wa Chuo Cha Mafunzo Kilimani Zanzibar

Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano ya ZFF Ndg, Rajab Juma Mtumweni akizungumza kabla ya kukabidhi Uongozi Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF , ulionafanyika leo katika ukumbi wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar, kufanya Uchaguzi Mkuu kupata Uongozi wa Kuongoza ZFF.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzio Kilimani Zanzibar leo kwachangua Rais, Makamu wa Rais na Wajumbe wa Kamati za ZFF Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.