Habari za Punde

Wagombea Uongozi Nafasi za Urais na Makamu wa Urais wa Shirikisho la Mpira Zanzibar ZFF Uchaguzi Uliofanyika Leo Zanzibar Ukumbi wa Chuo Cha Mafunzo Kilimani.

Mgombea Urais wa Shirikisho la Michezo Zanzibar Ndg Khamis Abdalla Said 
Mgombea Nafasi ya Urais Shirikisho la Michezo Zanzibar Ndg Seif Kombo.
Mgombea Urais Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF Ndg, Abdalla Dunia  
Mgombea Umakamo wa Urais wa Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF Ndg Salum Ubwa Nassor 
Mgombea Umakamo wa Urais wa Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF Ndg Khamis Shaal Chuom.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.