Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Zanzibar, Hassan Hassan ,akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia),alipofika ofisi za mamlaka hiyo leo kukagua zoezi la utolewaji vitambulisho kwa wananchi
Mkazi wa Unguja Salma Ali, akizungumza wakati wa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), alivyofika Ofisi za Uhamiaji Zanzibar leo kukagua zoezi la utolewaji wa pasi za kusafiria za kielektroniki linavyoendelea.
Mkazi wa Unguja Salim Hassan Makame, akizungumza wakati wa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), alivyofika Ofisi za Uhamiaji Zanzibar leo kukagua zoezi la utolewaji wa pasi za kusafiria za kielektroniki linavyoendelea.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment