Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza l;a Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Akutana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.