Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Azindua Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar Katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abrulwakil Kikwajuni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Cheti cha Shukrani alichokabidhiwa na Jumuiya ya  Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar Ndg. Masururu Saadun Ferouz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiisoma Kadi yake ya Uanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndh Masururu Saadun Ferouz wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kuylia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na kushoto Naibyu Waziri wa Wizara hiyo Mhe Shadya Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kadi yake ya Uanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ya (JUWAZA) Ndg. Masururu Saadun Ferouz  na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni 
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia na kuzindua Jumuiya hiyo, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakiul Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia  wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA)  uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Ndg. Masururu Saadun Ferouz akizungumza na kutowa neno la shukrani  kwa  mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jumuiya ya Wastaaf n a Wazee Zanzibar Mwalimu Amour Haji Nassor akisoma risala ya Jumuiya hiyo wakati wa uzinduzi wake uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo. 
Mwanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee.Bi.Hadia Suleiman Mkaazi wa Kijiji cha Dunga Bweni Wilaya ya Kati Unguja shuhuda wa Wazee wanaopokea penshini ya Wazee inayotolewa kwa ajili yao akitowa maelezo jinsi anavyonufaika na pensheni hiyo na kumuwezesha kujiendeleza na kufanikisha mahitaji yake ya kujikimu. 
Mzee Kassim Juma Vuai mkaazi wa Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kusini Unguja akitowa maelezo jinsi ya mafanikio aliyoyapata kupitia pensheni ya Wazee na kujuimarisha kwa kununua baskeli na kuweza kuwakodisha Watalii wanaofika katika Ukanda wa Bahari ya Uroa.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo.
Baadhi ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar  wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia na kuizinmdua Jumuiya yao katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Jumuiya yao iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.