Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Azungumza na Mwakilishi wa UNFPA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa UNFPA  Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mwakilishi wa UNFPA  Nchini Tanzania Ms.Jacqueline  Mahon (katikati)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA  Nchini Tanzania Ms.Jacqueline  Mahon wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Mwakilishi wa UNFPA  Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimiana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.