MWENYEKITI wa baraza la Vijana Wilaya ya Chake Chake Bakari Hamad Bakari, akizungumza na vijana wa shehia ya Mgelema, Mjini Ole na Chonga, ambao wamo katika mradi wa Six Hundred Opportunites (SHOP) Unaoendeshwa na kituo cha Majadiliano kwa Vijana (CYD) ukiwa na lengo la kuwawezesha vijana kuanzsha miradi ya ushirika.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUFUFUNZI wa Masuala ya Ujasiriamali kwa vijana Omar Khamis Juma, akiwasilisha mada kwa vijana wa shehia tatu za Wilaya ya Chake Chake ambazo ziko chini ya mradi wa Six Hundred Opportunites (SHOP), Unaoendeshwa na kituo cha Majadiliano kwa Vijana (CYD) ukiwa na lengo la kuwawezesha vijana kuanzsha miradi ya ushirika.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
VIJANA kutoka shehia ya Mgelema, Chaonga na Mjini Ole amazo zimo katika mradi wa Six Hundred Opportunites (SHOP) Unaoendeshwa na kituo cha Majadiliano kwa Vijana (CYD) ukiwa na lengo la kuwawezesha vijana kuanzsha miradi ya ushirika, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya ujasiriamali yanayotolea na CYD.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment