Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Atoa Shilingi Milioni 10 Kuisaidia Timu ya Taifa ya Soka ya Walemavu (TEMBO WARRIORS) Kushiriki Mashindano ya Afrika Nchini Angola Mwezi Ujao.


Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS  ukiwa ni  msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu  kwa watu
wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea machache mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS  kabla ya kukaikabidhi timu hiyo msaada wa shilingi milioni 10 uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu  kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio zaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo 
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea baada ya kumkabidhi rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter Sarungi Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS  ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo  kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu  kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo 

Katibu Mkuu wa Tanzania Paralympic Committee Tuma Dandi ambaye pia ni mwanahabari wa TBC baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS  ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye michezo ya dunia nchini Angola baadaye mwaka huu kwenye hafla fupi iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa akiongea machache baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS  ukiwa ni  msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo  kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1,mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo


Wachezaji wa wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS akifurahia  baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele yao  ukiwa ni  msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo  kushiriki kwenye mashindano
ya mpira wa miguu  kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika  katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo


Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa  katika picha ya pamoja na Rais wa  Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter Sarungi,wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS na wafanyakazi wa TBC Kitengo cha Michezo na viongozi wa Shirika  baada ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo  kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu  kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF)  yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.