Habari za Punde

Banda la Maonesho la Wazara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar ya Siku ya Chakula Duniani Viwanja Vya Chamanangwe Wte Pemba.

Banda la Maonesho la Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar limekuwa kivutio katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba, kama inavyoonekana moja ya mapambo ya mabungo katika banda hilo. 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.