Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar bna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Aweka Jiwe la Msingi na Kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja leo. n

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Tawi la CCM Uzi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Tawi hilo katika Kisiwa  cha Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.  
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kutambulishwa Viongozi wa Vyama vya Siasa vya Upinzani katika Kisiwa cha Uzi na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Ayuob Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Tawi hilo kwa ajili ya ufunguzi wake uliofanyika leo,21-11-2019.
Jengo Jipya la Tawi la CCM Uzi lililofunguliwa leo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi jengo jipya la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi hilo Ndg. Simai Jabu Vuai. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea jengo jipya la Tawi la CCM Uzi baada ya kulifungua leo kulia Mama Mwanamwema Shein na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi.
Kiongozi wa CCM Wilaya ya Kati Unguja Bi. Sharifa Mabadi akisoma historia ya Tawi la CCM Uzi wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Tawi hilo jipya baada ya kukamilika ujenzi wake huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa risala ya Wanachama wa CCM Tawi la Uzi wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Tawi hilo leo.
Katibu wa CCM Tawi la Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai akizungumza kabla ya kuufungua mkutano huo wakati wa ufunguzi wa jengo lao jipya la Tawi la CCM Uzi, lililofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Raisc wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo. 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Uzi, uliofanyika leo katika Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM Tawi la Uzi Ngambwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tawi hilo la CCM, akisisitiza jambo akionesha Katiba ya CCM wakati wa mkutano huo uliofanytika katika ukumbi huo leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kushoto Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Laila Burhani Ngozi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi hilo wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akizungumza na Wanachama wa CCM wa Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Mzee wa CCM katika Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja Mzee Khatib Ramadhan Iddi akifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi.



Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiangalia picha ilioyochorwa ya Dk. Shein baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.21-11-2019. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.