Habari za Punde

Uimarishaji wa Miundombinu ya Barabara.

Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Barabara wakiwa katika zoezi la kuimarisha miundombinu hiyo kwa kuweka lami katika sehemu zilizoathirika kutokana na mvua za masika zilizomalika hivi karibuni na kuleta madhara kwa baadhi ya barabara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.