Habari za Punde

Sherehe za uvunjwaji wa Baraza la tisa la Wawakilishi Chukwani


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa kitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la wawakilishi la Zanzibar katika sherehe zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 20/06/2020.  
 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakimsikiliza Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar sherehe zilizofanyika  leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakimsikiliza Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar sherehe zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.

 Spika wa  Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid (katikati) alipokuwa akitoa neno la Shukurani baada ya Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) mara baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar   katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (kulia) wakimuangalia kwa pamoja  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika sherehe zilizofanyika  leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakimsikiliza Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 
 Spika wa  Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid alipokuwa akimkabidhi zawadi Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  mara baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar katika sherehe zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 

 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakibadilishana mawazo mara baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar, leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 
  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akiagana na Spika wa  Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kumalizika kwa sherehe za  kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika Ukumbi wa Baraza hilo leo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Job Ndugai baada ya kumalizika kwa sherehe za  kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) baada ya kumalizika kwa sherehe za  kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.