Habari za Punde

Wananchi Jimbo la Mtoni Jijini Zanzibar Wajitokeza Kuchukua Vitambulisho Vya Kupiga Kura Kituo cha Betras

Wananchi wa Jimbo la Mtoni Jijini Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Chuo Cha SUZA Betras Jijini Zanzibar, wakiwa katika zoezi la kuchukua Vitambulisho vyao vipya vya kupigia kura Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.