WAZIRI wa Nchi Ofisi
ya Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohamed Aboud Mohamed, akitoa maelekezo
kwa mratibwa kamisheni ya kukabiliana na Maafa Pemba na injinia wa ujezi wa
nyumba za maafa Tumbe, wakati alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba
hizo
MUONEKANO wa Nyumba
ya makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba huko Pangali Wilaya ya Chake Chake
Unavyoendelea kwa kasi, kama inavyoonekana katika Picha.
MUONEKANO wa Nyumba
za maafa huko Tumbe zikiwa katika hatua za mwisho kukamilika kwake, il
kukabidhwia serikali kwa ajili ya kufunguliwa rasmi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohamed Aboud Mohamed, akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya
Makamu wa Pili wa Rais huko Pagali Wilaya ya Chake Chake.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment