Habari za Punde

Mgombea Urais Kupitia Cha cha NLD Mhe Mfaume Khamis Hassan Amechukua Fomu ya Kugomea Urais wa Zanzibar ZEC. Leo.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Fomu ya Kugombea Urais wac Zanzibar kupitia Chama Cha NLD Mhe. Mfaume Khamis Hassan alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu ya Urais leo. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chacha NLD Mhe. Mfaume Khamis Hassan akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kumaliza zoezi la uchukuaji wa Fomu ya kugombea Urais Ofiosi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.