Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Hamid Mahmoud Hamid (kushoto) akimkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA Mhe Juma Ali Khatib alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya uchukua wa fomu hiyo leo.
Mgombea Urais kupitia Chama cha ADA -TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali walioko Zanzibar baada ya kumaliza zoezi la uchukuaji wa Fomu katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Maisara Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment