Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk Hussein Mwinyi Akiwa Katika Kampeni Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM ) Mhe.Dk.Hussein Mwinyi, akitembelea maeneo ya Kiwengwa, ikiwa ni muendelezo wa zira zake za Kampeni kwa Wananchi kuomba Kura. 

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, akizungumza na Wafanyabiasahara wa Kimasai katika Kijiji cha  Kiwengwa akiwa katika kampeni zake kuomba kura kwa Wananchi akiwa katika ziara yake.

Mgombeac Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi,akizungumzanaWamasai, mama lishenawaendeshabodaboda, wakatiwamuendelezo wake wakampenizakisayansi, zakukutananamakundimbalimbali.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.