Habari za Punde

Dk Shein azindua kitabu cha Mwalimu bora wa Soka Zanzibar

Mwalimu na Mkufunzi Suleiman Mohamoud Jabir akisoma wasifu wa Mwandishi na kutoa maelezo ya Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA" kilichozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Omar Hassan King akitoa maelezo kuhusiana na Michezo katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA"kilichoandikwa na Kocha Gulam Abdalla Rashid na kuzinduliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo  Balozi Ali Karume akitoa hotuba na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katika  hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA"kilichoandikwa na Kocha Gulam Abdalla Rashid hafla iliofanyika  katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Uzinduzi wa  Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA"kilichoandikwa na Kocha Gulam Abdalla Rashid hafla iliofanyika  katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.
Kocha Gulam Abdalla Rashid akitoa neno la Shukrani baada ya kuzinduliwa kwa  Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA"alichokiandika hafla iliofanyika  katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akinyanyua  Kitabu cha "MWALIMU BORA WA SOKA"kilichoandikwa na Kocha Gulam Abdalla Rashid Ikiwa ni ishara ya Kukizindua ,hafla iliofanyika  katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakili Kikwajuni Zanzibar.

Picha na yussuf Simai - Maelezo
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.