Habari za Punde

Maandamano ya Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Yafana Viwanja Vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi wakati akiyapokea Maandamano ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar na kushirikisha Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar  na Amsha Amsha Mapinduzi

VIJANA wa Chikupizi wakiongoza maandamano wakiwa wamebeba picha za Viongozi Wakuu wa Serikali na Wastaaf wakati wa maandamano ya Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakipita mbele ya mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.
VIJANA wa Chikupizi wakiongoza maandamano wakiwa wamebeba picha za Viongozi Wakuu wa Serikali na Wastaaf wakati wa maandamano ya Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakipita mbele ya mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar
VIJANA  Veterani wa  Young Pioneer wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho ya sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja
VIJANA wa Chipukuzi wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa maandamano ya kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar.
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
VIJANA wa Skauti wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakati wa Maadhimisho ya sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliowashirikisha Wananchi na Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.
ASKARI wa JWTZ wakishiriki katika Maandamano ya Amsha amsha na Mapinduzi wakati wa Maadhimisho ya sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar.
ASKARI wa Kikosi cha KMKM wakishiriki katika Maandamano ya Amsha Amsha na Mapinduzi wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) maadhimisho hayo ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
ASKARI wa Kikosi cha Chuo Cha Mafunzo wakishiriki katika Maandamano ya Amsha Amsha na Mapinduzi wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) maadhimisho hayo ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
ASKARI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar wakishiriki katika Maandamano ya Amsha Amsha na Mapinduzi wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) maadhimisho hayo ya Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.