Habari za Punde

Bot Yatowa Mafunzo Kwa Wajumbe wa Baraza la Wawkilishi Kuhusiana Majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akisalimiana na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof.Florence luoga wakati alipowasili katika viwanja vya Hotel Verde Mtoni Jijini Zanzibar wakati wa Mafunzo kuhusu Majukumu ya Benki kuu ya Tanzania.na kujumuka katika futari maalum ilioandaliwa kwa Wajumbe.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akiwaongoza wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT  katika futari maalum ilioandaliwa na Benki hiyo mara baada ya kumalizika mafunzo maalum kuhusu Majukumu ya  Benki hiyo iliofanyika Hotel Verde.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.