Habari za Punde

UTIAJI SANI MKATABA UJENZI BOMBA LA MAFUTA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania kwa  Rais Yoweri Museven wa Uganda, alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Mei 20,2021 kwa ajili ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi  la Afrika Mashariki.
Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Museven akizungumza wakati wa hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi  la Afrika Mashariki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi  la Afrika Mashariki.iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda wakionesha Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la afrika Mashariki, baada ya kutia saini Mkataba huo leo Mei 20,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais Uganda Mhe.Yoweri Museven na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango. baada kumalizika kwa utiaji wa saini Mkataba wa Nchi Hodhi Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki. uliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.