Habari za Punde

NEC Yatowa Mafunzo kwa Wasimalizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde Pemba.

Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mawazo Bikenye akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021.
Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Michael Simba, akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021. 
(Picha na NEC)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.