Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Azimio la Halmashauri Kuu ya CCM Taifa la Kumpongeza kwa Kazi Kubwa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM, akikabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM  Ndg.Daniel Godfrey Chongolo alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulishwa na Ujumbe wake mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Godfrey Chongolo (kulia kwa Rais) alipofika jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za CCM, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Godfrey Chongolo (kulia kwa Rais) alipofika jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za CCM, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.